Yeeeeeeereeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!! Mpango wooooote leo kwenye KIWANGO NA UKISKIA PAAAAAAAAAAH ndani ya SIZ KITAA tumsikilize Chege Chigunda Mtoto wa Mama Said kutoka TMK WANAUME akifunguka mambo mingiiiii kuhusu yeye na mziki wake kirohooo saaaaaaaaaafi tukutane saa moja kamili pale CLOUDS TV...uskoseeee......