Friday, April 20, 2012

MWANANCHI KIJIWENI LEO NA TASH MZEEE WA CHAPIAAAAAAAAA..



HAYAAA WADAU MZIGO HUO HAPO TUKUTANE SAA MOJA
KAMILI ZA JIONI PALE CLOUDS TV, MARUDIO JUMAMOSI NA
JUMATATU SAA SITA NA NUSU MCHANA.

Thursday, April 19, 2012

DARASA LA KIJIWENI "SEGMENT MPYA KWENYE SIZ KITAA"

SUPER MODEL MWIITE DAX AKIFUNGUKA...



DARASA LA KIJIWENI ni segment mpya kabisa kwenye SIZ KITAA. ni segment ambayo utapata darasa kutoka kwa celebrity yoyote yule iwe mwanamitindo, mwanariadha, mwanasoka, mjasiriamali n.k ili uweze kukipa thamani kipaji chako, ufuate nyayo zake na kufika kama yeye..

Tuesday, April 17, 2012