![]() |
| HAYAAA..NIVAEE NIANZE KAZI MIE.. |
![]() |
| HAYA NISHAVAA SASA NAWAZA CHA KUONGEA HAPO...HAHAHA |
![]() |
| NAFANYA OPENING KWENYE MOJA KATI YA ALAMA ZA JIJI LA MWANZA HAPA NI MTI AMBAO WAKOLONI WALIKUWA WANAWANYONGEA WATUMWA. |
![]() |
| HAPA NAFANYA INTERVIEW NA FILBERT KABAGO AMBAYE NI MWENYEKITI WA MWANZA KWANZA NA NI MTANGAZAJI WA PASSION FM. MWANZA KWANZA NI NINI?? JIBU UTALIPATA SOON.......... |
![]() |
| FILBERT KABAGO, EZRA KAAYA (CAMERA MAN) NA SHAGILE SAID (SOUND MAN) PICHA KIDOGO BAADA YA KAZI. |
![]() |
| TUKAKUSANYIKA WOTE KWA AJILI YA PICHA YA PAMOJA NA WASANII WA MWANZA WAITE MWANZA KWANZA. |