Thursday, April 19, 2012

DARASA LA KIJIWENI "SEGMENT MPYA KWENYE SIZ KITAA"

SUPER MODEL MWIITE DAX AKIFUNGUKA...



DARASA LA KIJIWENI ni segment mpya kabisa kwenye SIZ KITAA. ni segment ambayo utapata darasa kutoka kwa celebrity yoyote yule iwe mwanamitindo, mwanariadha, mwanasoka, mjasiriamali n.k ili uweze kukipa thamani kipaji chako, ufuate nyayo zake na kufika kama yeye..

No comments:

Post a Comment