Siz Kitaa
Wednesday, May 30, 2012
LEO JUMATANO KWENYE SIZ KITAA
Yeeeeeeereeeeeeeeeeeeeeeeeeeee eeeee!!!! Mpango wooooote leo kwenye KIWANGO NA UKISKIA PAAAAAAAAAAH ndani ya SIZ KITAA tumsikilize Chege Chigunda Mtoto wa Mama Said kutoka TMK WANAUME akifunguka mambo mingiiiii kuhusu yeye na mziki wake kirohooo saaaaaaaaaafi tukutane saa moja kamili pale CLOUDS TV...uskoseeee......
Friday, April 20, 2012
MWANANCHI KIJIWENI LEO NA TASH MZEEE WA CHAPIAAAAAAAAA..
Thursday, April 19, 2012
DARASA LA KIJIWENI "SEGMENT MPYA KWENYE SIZ KITAA"
![]() | ||
| SUPER MODEL MWIITE DAX AKIFUNGUKA... |
DARASA LA KIJIWENI ni segment mpya kabisa kwenye SIZ KITAA. ni segment ambayo utapata darasa kutoka kwa celebrity yoyote yule iwe mwanamitindo, mwanariadha, mwanasoka, mjasiriamali n.k ili uweze kukipa thamani kipaji chako, ufuate nyayo zake na kufika kama yeye..
Tuesday, April 17, 2012
Thursday, April 12, 2012
MASKANI YA SIZ KITAA SEASON YA TATU IKO HIVI
KUSHOTO, KULIA NA KATIKATI MASKANI YA SIZ KITAA NEW SEASON
UMALIZIAJI WA MASKANI YA SIZ KITAA SEASON YA 3..
Subscribe to:
Posts (Atom)


















